Kiaiklep ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waaiklep. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiaiklep imehesabiwa kuwa watu 3700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaiklep iko katika kundi la Kioseaniki.