Kiapma ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waapma kwenye kisiwa cha Raga. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiapma imehesabiwa kuwa watu 7800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiapma iko katika kundi la Kioseaniki.