Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kibaba

Kibaba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wababa. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kibaba imehesabiwa kuwa watu 24,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaba iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.


Previous Page Next Page






Baba (Sprache) German Baba language English Baba (langue) French Baba (jezik) Croatian Asụsụ Baba IG Baba (lenga) OC Lenga Baba PMS

Responsive image

Responsive image