Kibainouk-Samik ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wabainouk. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibainouk-Samik imehesabiwa kuwa watu 1850. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibainouk-Samik iko katika kundi la Kiatlantiki.