Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kibakoko
Kibakoko ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabakoko. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kibakoko imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibakoko iko katika kundi la A40.