Kibalangao

Kibalangao ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabalangao. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibalangao imehesabiwa kuwa watu 21,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibalangao iko katika kundi la Kifilipino.


Kibalangao

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne