Kibangubangu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabangubangu. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kibangubangu imehesabiwa kuwa watu 171,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibangubangu iko katika kundi la L20.