Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kibareli-Palya

Kibareli-Palya ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabareli. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibareli-Palya imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibareli-Palya iko katika kundi la Kiaryan.


Previous Page Next Page






Palya Bareli language English Palya bareli Finnish Palya Bareli jezik Croatian Palya OC Lenga bareli palya PMS ᱯᱟᱞᱤᱭᱟ ᱵᱟᱨᱮᱞᱤ ᱯᱟᱹᱨᱥᱤ SAT

Responsive image

Responsive image