Kibatanga ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabatanga. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kibatanga nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibatanga iko katika kundi la A30.