Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kibatek
Kibatek ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wabatek. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibatek imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatek iko katika kundi la Kimon-Khmer.