Kibeba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabeba. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibeba imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibeba iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.