Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kibhattiyali
Kibhattiyali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabhattiyali. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibhattiyali imehesabiwa kuwa watu 102,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibhattiyali iko katika kundi la Kiaryan.