Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kibhilali
Kibhilali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabhilali. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibhilali imehesabiwa kuwa watu 681,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibhilali iko katika kundi la Kiaryan.