Kibilaspuri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabilaspuri. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibilaspuri imehesabiwa kuwa watu 295,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibilaspuri iko katika kundi la Kiaryan.
Kibilaspuri