Kibinukidnon-Kaskazini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabinukidnon. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibinukidnon-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 15,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibinukidnon-Kaskazini iko katika kundi la Kifilipino.