Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kibisorio

Kibisorio ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabisorio. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kibisorio imehesabiwa kuwa watu 260. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibisorio iko katika kundi la Kiengan.


Previous Page Next Page






Bisorio jezik Croatian Lenga Bisorio PMS

Responsive image

Responsive image