Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kibodo-Parja
Kibodo-Parja ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabodo. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibodo-Parja imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibodo-Parja iko katika kundi la Kiaryan.