Kibonerate ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabonerate kwenye visiwa vya Bonerate, Madu, Kalaotoa na Karompa. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibonerate imehesabiwa kuwa watu 9500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibonerate iko katika kundi la Kicelebiki.