Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kibonggi
Kibonggi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wabonggi. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kibonggi imehesabiwa kuwa watu 1400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibonggi iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.