Kibusam ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabusam. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibusam imehesabiwa kuwa watu 1490. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibusam iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.