Kibuxinhua

Kibuxinhua (au Kibit) ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Uchina inayozungumzwa na Wabuxing. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kibuxinhua nchini Laos imehesabiwa kuwa watu 1960. Pia kuna wasemaji 200 nchini Uchina (1994). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibuxinhua iko katika kundi la Kipalaungiki.


Kibuxinhua

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne