Kichin-Falam

Kichin ya Falam (pia Kifalam au Kihalam) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uhindi inayozungumzwa na Wahalam. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Falam nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 69,000. Pia kuna wasemaji 38,300 nchini Uhindi (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Falam iko katika kundi la Kisal.


Kichin-Falam

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne