Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kicuyonon

Kicuyonon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wacuyonon. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kicuyonon imehesabiwa kuwa watu 123,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicuyonon iko katika kundi la Kifilipino.


Previous Page Next Page