Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kiemem
Kiemem (pia Kiemumu) ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waemem. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiemem imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiemem iko katika kundi la Kipauwasi.