Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kiika
Kiika ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waika. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiika imehesabiwa kuwa watu 22,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiika iko katika kundi la Kiigboidi.