Kiisekiri

Kiisekiri ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waisekiri. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiisekiri imehesabiwa kuwa watu 510,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiisekiri iko katika kundi la Kidefoidi.


Kiisekiri

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne