Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kikamayo
Kikamayo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wakamayo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikamayo imehesabiwa kuwa watu 363,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikamayo iko katika kundi la Kifilipino.