Kikanuri-Tumari

Kikanuri-Tumari ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Niger inayozungumzwa na Wakanuri. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitumari imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitumari iko katika kundi la Kisahara.


Kikanuri-Tumari

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne