Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kikasiguranin

Kikasiguranin ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wakasiguranin. Mwaka wa 1975 idadi ya wasemaji wa Kikasiguranin imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikasiguranin iko katika kundi la Kifilipino.


Previous Page Next Page






Tataramon na Kasiguranin BCL Kasiguranin English Bahasa Kasiguranin ID Pagsasao a Kasiguranin ILO Lenga kasiguranin PMS Wikang Kasiguranin TL

Responsive image

Responsive image