Kikete

Kikete ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakete. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikete imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikete iko katika kundi la L20.


Kikete

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne