Kikodi

Kikodi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakodi kwenye kisiwa cha Sumba. Idadi ya wasemaji wa Kikodi imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikodi iko katika kundi la Kisumba-Hawu.


Kikodi

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne