Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kikokata

Kikokata (au Kikukarta) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakokata katika jimbo la Australia Kusini. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikokata 19 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikokata kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.


Previous Page Next Page






Kokatha dialect English Kokatan kieli Finnish Lenga kokata PMS Kokata Swedish

Responsive image

Responsive image