Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kikorowai

Kikorowai ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakorowai. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikorowai imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikorowai iko katika kundi la Kiawyu-Dumut.


Previous Page Next Page