Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kikoti
Kikoti ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wakoti. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikoti imehesabiwa kuwa watu 77,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikoti iko katika kundi la P30.