Kilarteh ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Walarteh. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kilarteh imehesabiwa kuwa watu 74,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilarteh iko katika kundi la Kikwa.
Kilarteh