Kilavrung (pia Kiguanyingqiao au Kikhroskyabs) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wajiarong. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kilavrung imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilavrung iko katika kundi la Kiqiangiki.