Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kimasmaje
Kimasmaje ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wamasmaje. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimasmaje imehesabiwa kuwa watu 25,727. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasmaje iko katika kundi la Kichadiki.