Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kimundat

Kimundat ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamundat. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kimundat imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimundat iko katika kundi la Kichadiki.


Previous Page Next Page






Moundateg BR Mundat language English Mundat jezik Croatian Asụsụ ndị Mundat IG Lenga Mundat PMS Мундат Russian

Responsive image

Responsive image