Kinamakura

Kinamakura ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wanamakura kwenye visiwa vya Efate, Emwae, Tongoa ma Tongariki. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinamakura imehesabiwa kuwa watu 3750. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinamakura iko katika kundi la Kioseaniki.


Kinamakura

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne