Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kinduga
Kinduga ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanduga. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kinduga imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinduga iko katika kundi la Kidani.