Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kingile
Kingile ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Wamesakin. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kingile imehesabiwa kuwa watu 38,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingile iko katika kundi la Kikordofani.