Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kinotre
Kinotre ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wanotre. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kinotre imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinotre iko katika kundi la Kigur.