Kioro

Kioro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waoro. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kioro imehesabiwa kuwa watu 75,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioro iko katika kundi la Cross River.


Kioro

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne