Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kioroko
Kioroko ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waoroko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kioroko ilihesabiwa kuwa watu 106,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kioroko iko katika kundi la A10.