Kipahari ya Mahasu ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapahari. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kipahari ya Mahasu imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipahari ya Mahasu iko katika kundi la Kiaryan.