Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kipela
Kipela ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wajingpo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipela imehesabiwa kuwa watu 400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipela iko katika kundi la Kiburmiki.