Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kisekpele
Kisekpele ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wasekpele. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kisekpele imehesabiwa kuwa watu 23,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisekpele iko katika kundi la Kikwa.