Kisemimi ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasemimi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kisemimi imehesabiwa kuwa watu 1000, lakini wengi wameanza kuacha lugha yao, yaani Kisemimi iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisemimi iko katika kundi la Kimairasi.