Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kisha
Kisha ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Washa. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kisha imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisha iko katika kundi la Kichadiki.