Kishekhawati ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Washekhawati. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kishekhawati imehesabiwa kuwa watu milioni tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kishekhawati iko katika kundi la Kiaryan.
Kishekhawati